Magofu ya Pujini (Magofu ya mji wa kale wa Pujini) ni magofu ya Zama za Kati jirani na kijiji cha Pujini kilichopo Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba.[1]
Eneo hilo la kihistoria lilikuwa kama ngome. Inaaminika kuwa jumba hilo lilijulikana kuwa la Mkama Ndume.[2] [3]
Ni moja kati ya maeneo kadhaa ya kihistoria ya Kitaifa katika kisiwa cha Pemba yakiwemo Chambani na Ras Mkumbuu.
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help)
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help); Cite journal requires |journal=
(help)CS1 maint: unrecognized language (link)